"Na miongoni mwenu asiyeweza kupata mali ya kuoa wanawake waungwana wa Kiislaamu, basi (aoe) katika wajakazi wenu wa Kiislaamu mliowamiliki na Mwenyezi Mungu anajua sana imani yenu. Baadhi yenu mnatokana na baadhi, basi waoweni kwa idhini ya watu wao na muwape mahari yao kwa Sheria, wanawake wema, si wazinifu, wala wenye kujifanya mahawara. Na watakapoolewa, basi watakapofanya uchafu itawapasa nusu ya adhabu iwapasayo wanawake waungwana. Hayo ni kwa aliyechelea mashaka katika nyinyi, na mtakaposubiri ni bora zaidi kwenu, na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu." Qur'an 4:25
SHEREHE YA HARUSI ILIYOFANYIKA YOMBO DOVYA, JIJINI DAR ES SALAAM, SIKU YA J.MOSI.