BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA YAFANYA ZIARA MKOA WA TANGA WILAYA YA LUSHOTO.



Taasisi ya Bilal Muslim Mission imefanya ziara katika mkoa wa Tanga wilaya ya Lushoto, imeendesha Semina kwa Wanaharakati wa wilaya hiyo huku wakiwata kujitolea zaidi katika mambo mbalimbali na kushikamana na visomo vya dua ili kuondokana na matatizo ya maradhi pamoja na umasikini katika Semina hiyo wametoa mafunzo kwa vitendo na kuonesha namna wanavyofanya kazi zao katika sehemu mbalimbali nchini Tanzania.