India yafanya maandamano makubwa kupinga adhabu ya Kifo iliyotolewa na Utawala wa kidikteta wa Saudia kwa Sheikh Baqir Al Nimr na kukemea mashambulizi yanayofanyika huko Yemen. Askari wa utawala wa kidikteta wa Saudia, walimtia mbaroni Sheikh Nimr, mwezi Julai mwaka 2012 baada ya kumjeruhi kwa kumpiga risasi kadhaa akiwa ndani ya gari yake.