Serikali ya Saudia imetoa adhabu ya kifo kwa Sheikh Nimr kwa madai ya kuvuruga amani ya nchi huko Saudia.
"Nina miaka 55, zaidi ya nusu karne tangu siku niliyozaliwa mpaka leo,
sijawahi kujihisi nipo katika amani au usalama." Sheikh Nimr Baqir Al
Nimr