Mfumo wa WILAYAH sio ule mfumo unaotufunza kula chakula, Mfumo wa
WILAYAH ni mfumo unaotufunza namna ya kuishi maisha na sio namna ya kula
chakula na kuishia kusoma Suratul Fatha kwa ajili ya Mashihidi. Ni
jukumu letu kusoma na kuelewa dhamira ya Mfumo wa WILAYAH na sio
kupotosha maana ya mfumo wa WILAYAH