Demokrasia ipo wapi watu wanakosa Uhuru wa kujieleza, uhuru wa kupiga
kura (kumchagua mtawala wamtakao) mwisho wao unaishia kwenye kupigwa
mabomu ya Machozi, Vifo na kutiwa nguvuni Uhuru huko wapi watetezi wa
haki za Binadamu mko wapi. Je, yote haya yanayotendeka sio ukiukwaji wa
haki za binadamu.? Uhuru kwa watu wa Bahraini unaitajika