Harakati ya
Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, kikosi
cha mashahidi wema wa Quneitra kimefanya operesheni ya kishujaa saa 5:25
asubuhi ya siku ya Jumatano na kukilenga kikosi cha wanajeshi vamizi wa
utawala wa Kizayuni kwenye mashamba ya Shabaa huko kusini mwa Lebanon.
Wanajeshi 17 wa Kizayuni wameangamizwa katika operesheni hiyo ya aina
yake.
Matini kamili ya taarifa hiyo ya Hizbullah ni kama ifuatavyo:
Taarifa nambari (1)
Bismillahir Rahmanir Rahim
Saa 5:25 asubuhi ya leo, kikosi cha mashahidi wema wa Quneitra kutoka katika Muqawama wa Kiislamu, kimeshambulia kikosi cha jeshi la Israel katika mashamba ya Shabaa kikiwa na zana kadhaa za kijeshi pamoja na wanajeshi wa Kizayuni. Kikosi cha Mashahidi wa Quneitra kimeshambua wanajeshi hao wa Kizayuni kwa kombora maalumu kwa ajili ya kushambulia vikosi kama hivyo, na kuangamiza zana kadhaa za kijeshi pamoja na kuangamiza na kujeruhi wanajeshi kadhaa wa adui (Mzayuni).
وما النصر إلا من عند الله العزيز الجبار
Na hakuna ushindi wowote ila unatoka kwa Allah, Mwenye nguvu, Mwenye kutakabari.
Muqawama wa Kiislamu. Chanzo cha habari: http://kiswahili.irib.ir/…/46241-hizbullah-yatangaza-kuhusi…