Waumini wa dini ya Kiislam bado wapo katika huzuni nchini Tanzania kwa
ajili ya kukumbuka siku ya Kifo cha Mtume Muhammad (s.a.w.w), katika
picha Waislam wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashariyyah waliyopo mjini
Kahama wakiwa katika hali ya majonzi na masikitiko kwa kuondokewa na
Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) Waislam wanatakiwa kukumbuka siku hii
kwa kukuza umoja na mshikamano baina ya watu wote kwa kuwa Mtume
Muhamamad (s.a.w.w) alikuja duniani kwa ajili ya kuwa rehema kwa viumbe
vyote.