Asalaam
Aleykum, Tunapenda kutoa mwaliko kwa Waislam wote katika Semina ya
kumkumbuka muasisi wa dola ya Kiislamu ya Iran Imam Khomein aliyefariki
mnamo tarehe 03/06/1989. Semina itafanyika siku ya Jumamosi tarehe
07/06/2014 kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi saa 11:00 jioni katika ukumbi
wa Jaffery Complex, Morogoro road pia kutakuwa na T-shirt zenye hujumbe
wa Imam Khomein zitapatikana kwa bei ya 10000/= kwa ajili ya kuchangia
harakati zetu ili tuweze kufika mbele zaidi. Kwa mawasiliano zaidi piga
namba: 0784 632 514, 0786 750004.