Changia afroshia kwa kununua T-Shirt ili tuweze kusukuma
gurudumu la harakati mbele zaidi.
Mwenyezi Mungu (s.w.t) anasema katika kitabu chake kitukufu: “Kwa
hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wale wanaopigana katika njia yake kwa safu
kama kwamba wao ni jingo lililokamatana.” (Qur’an: 61:4)