MSIMAMO WA MAREKANI BADO UNAENDELEA KUPATA VIKWAZO.

Maandamano yaliyofanyika nchini Syria, maandamano hayo yalielekea katika Ubalozi wa Marekani, Mashariki mwa Beirut dhidi ya uwezekano wa mgomo wa kijeshi wa Marekani juu ya Syria. 7-09-2013.