Sheikh Waziri Nyello
alikuwa na mchango mkubwa
katika kusukuma gurudumu la Madhehebu ya Ahlul-Bayt (a.s), leo hii ana
nguvu tena ya kufanya kazi hiyo, kwa ajili ya afya yake na Utu uzima,
kwa kweli nasi atunabudi kufuata nyao zake katika ufikishaji ujumbe wa
Ahlul-Bayt (a.s). Tumuombee Dua Mwenyezi Mungu amjalie afya njema, hili
tuzidi kupata busara zake.