Sayyed Shaheed,
Mudir wa Chuo Kikuu cha
Al-Mustaph, kilichopo Upanga, jijini Dar es Salaam, akizungumzia kwa
kifupi historia ya Bibi Fatma Zahra (a.s), katika Sherehe iliyofanyika
Masjid Ghadiir, Kigogo Post, jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s),
iliyopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, wakisoma baadhi ya Mashairi
ya kumsifu Bibi Fatma Zahra (a.s), katika Sherehe ya kukumbuka Mazazi
yake iliyofanyika Masjid Ghadiir Kigogo Post, jijini Dar es Salaam.
Waislam wa Madhihabu mbalimbali wakiwa katika kumbukumbu ya kukumbuka Mazazi ya Fatma Zahra (a.s), Mtoto wa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), iliyofanyika Kigogo Post, jijini Dar es Salaam.