Asalaam Aleykum, Kamati ya Tabligh ya Hawzat
Al-Imam Swaadiq (a.s), ikiongozwa na Maulana Shekh Hemed Jalala, siku ya
J.pili watakuwa katika Sherehe ya Maulid ya Mtukufu Mtume Muhammad
(s.a.w.w), yatakayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia Saa
3:00 Asubuh hadi Saa 6:30 mchana, Waislamu wote mnakaribishwa.