Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi
wa Iran,
Morteza Sabouri, (kushoto) akitoa historia fupi juu ya
Mapinduzi ya Kiislam ya Iran, katika Sherehe ya kusherehekea Mapinduzi
ya Kiislamu ya Iran, iliyofanyika katika kituo cha Utamaduni cha
Ubalozi wa Iran, Upanga jijini Dar es Salaam.