SHEREHE YA EID AL-GHADIIR, IMEFANYIKA JAMIATUL MUSTAPHA, UPANGA, JIJINI DAR ES SALAAM.


Katikati Balozi wa Iran, akiwa katika Sherehe ya Eid Al-Ghadiir, iliyofanyika Chuo Kikuu Jamiatul Mustapha kilichopo Upanga, Jijini Dar es Salaam. 3-11-2012

Waumini Wakiislam wakisikiliza maneno matukufu ya Imam
Ali bin Abi Talib (a.s), kutoka katika Najul-Balagha yaliyosomwa na Wanafunzi kutoka Hawzat mbali mbali, na mwisho washiriki walizawadiwa zawadi na Balozi wa Iran.

 Dr Sheikh Khatibu (kushoto), akionyesha uso wa furaha baada ya kuona vijana wakionyesha umahiri mkubwa katika kuhifadhi maneno matukufu ya Imam Ali bin Abi Talib (a.s), kutoka katika Najul-Balagha.