SHEIKH ABDULRAZAQ MSUYA AKITOA TAFSIRI YA QUR'AN TUKUFU MKOANI ARUSHA.
Sheikh Abdulrazak Msuya akitoa darasa la tafsiri ya Qur'an Tukufu, katika Masjid Zahraa Answarul Imamiyyah- Arusha mjini.
Baadhi ya Waumini wa Masjidi Zahraa Answarul Imamiyyah- Arusha mjini, wakisikiliza tafsiri ya Qur'an Tukufu.