Mada mbali mbali zilitolewa,na maswali pia yaliulizwa.
Miongoni mwa maswaali
yaliyo ulizwa ni swala la:
(1)Je maulid ni bid-aa?
(2)Je kumsomea talaqiin mayyiit inajuzu?je inamsaidia
mayyiit?
(3)Baadhi ya masheikh wanasema :tunapokwenda kuzika haifai
kusoma لأاله الأ الله)) lipi bora ?kusoma
maneno hayo au
kunyamaza kimya?
(4)Mtume (s.a.w.w) alipokufa, Bilal alimuona Mtume
usingizini akimwambia:Bilal mbona umetususa? akaenda Madina akagara gara katika
kaburi la mtume, kisha ikawaje? je familia ya Mtume bado ipo na kama ipo ipo
wapi?
(5)Waislaam wa Miono wanapowacheza watoto wao wakike huwatoa
kwa Maulid, tendo hilo ni haraam?kwa kua Mtume hakufanya?
(6)Mbona baadhi ya waislaam wanaswali na kusujudia karatasi?
(7)Dada yangu kaolewa na wahabi, mumewe akasafiri kwa muda
mrefu,mke akaomba talaka,akapewa talaka na kaka wa mume,…