HARAKATI ZA MAZISHI YA MZEE SALM O.NYELLO, LUSHOTO MKOANI TANGA.
Mwili wa Mzee Salm O.Nyello umeswaliwa katika Msikiti wa Imam Ali Bin Abi Talib (A.s), uliyopo Lushoto wilayani Tanga, siku ya Ijumaa ya Tarehe 25/5/2012, M/Mungu amfanyie wepesi katika makazi yake ya Akhera.