HAWZAT AL-IMAM SWAADIQ (A.S), KIGOGO POST, DAR ES SALAAM, YAOMBOLEZA KIFO CHA BIBI FATMA (A.S).


Mtume Mohammad (s.a.w.w) amesema: "Mimi ni vita kwa atakeye kupigeni, mimi ni mwenye amani kwa atakayekupeni amani."
Taz: Sahihi Tirmidhiy J.2 Uk. 319
       Usudul Ghaba J.3 Uk. 11

Khalifa wa pili Umar bin Khattab yeye ndiye sababu ya kifo cha Bibi Fatma (a.s) kwa kumpiga ngumi ya tumboni na kusababisha uhalibifu wa ujauzito wake.! 
Taz: Al'Milal Wannihal J.1 Uk. 73

Kutokana na maumivu haliyoyapata, Bibi Fatma (a.s) hakuchukua mda mrefu akafariki.!