MAULANA HEMED JALALA, AKIWA INCHINI SYRIA.

Maulana Hemed Jalala Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), akiwa katika maktaba ya Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi Muadhimu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, iliyopo inchini Syria.