Waislamu wa shiriki futari ya pamoja jijini Dar-es-Salaam hiliyoandaliwa na Shia Ithana Shariyyah katika ukumbi wa Mehfir Abbas uliyopo mjini posta.


Baada ya futari ya pamoja Shk Jalala alizungumza na waandishi wa habari moja katika mazungumzo hayo alisema  umoja baina ya Waislamu unawezekana endapo Waislamu wenyewe watakubali kuwa kitu kimoja.