MCHANGO WA SAFARI ZA KUFIKISHA UJUMBE WA MWENYEZI MUNGU.

Misafara ya Tabligh za Mikoani sasa imerudi tena baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu, unaweza kuchangi safari kwa kupitia namba hizo ili kufanikisha safari za kufikisha ujumbe wa Mwenyezi Mungu (s.w) katika jamii.

Namba hizi zimesajiliwa kwa jina la "Abdullatwif Swaleh"

Mmoja wa wana kamati ya Misafara ya Tabligh namba hizi zitatumika kwa muda mpaka tutakapo pata namba zingine kwa ajili ya michango InshaAllah.

MTUKUFU MTUME (S.A.W.W) anasema:
"Hakuna mlinganiaji yeyote anayelingania kwenye uongofu ila ni lazima atapata malipo mfano wa yale ya yule aliyemfuata, hakuna atakayepungukiwa chochote katika ujira wake."
Rejea: Al-Muwatau: 1/218/41.