MAANDAMANO YA KIFO CHA MTUKUFU MTUME MOHAMMAD (S.A.W.W), YALIYOFANYIKA ZANZIBAR.

Maandamano ya amani kwa ajili ya kukumbuka siku aliyofariki Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), yaliyofanyika Zanzibar siku ya J.nne ya tarehe 1/01/2014.