Matembezi ya siku ya Quds Kimataifa yamefanyika katika jiji la Dar es Salaam, kwa lengo la kupinga ukatili unaofanywa na utawala bandia wa Israel huko katika ardhi ya Palestina, Utawala haramu wa Israel mpaka hivi sasa umetimiza miaka 67 ya Uvamizi wa ardhi ya Palestina na kuwafanya maelfu ya wa Palestina kukosa sehemu za kuishi, mmoja wa wanaharakati anasema kuwa mwaka 1948 umoja wa mataifa walitenga mipaka katika maeneo yanayokaliwa na wa Israel na Palestina Utawala wa Israel ukakiuka masharti na makubaliano yaliyowekwa na umoja wa mataifa na kuivunja mipaka iliyowekwa na mpaka hivi sasa hakuna hatua zozote za kisheria zilizochukuliwa na umoja wa mataifa dhidi ya utawala wa Israel.
WAUMINI WA DINI YA KIISLAM MADHEHEBU YA SHIA ITHNA ASHARIYYAH WAMEUNGANA NA WAPENDA AMANI DUNIANI KATIKA SIKU YA QUDS DUNIANI.