Asalaam Aleykum, Ndugu Waislamu kesho tunaendelea na funga ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan tunatimiza 30, hivyo Waislam wasibabaishwe na TAKBIRA za ANSWARU SUNNA zinazoendelea hivi sasa katika baadhi ya sehemu hakuna sehemu mwezi ulipoonekana wao wanafungua kwa madai ya mwezi wa Kimataifa. Tumeambiwa fungeni kwa kuona mwezi na fungueni kwa kuona mwezi.